Wanaume wengi hatuna nguvu za kiume kwasababu ya presha ya mwili

Wanaume wengi hatuna nguvu za kiume kwasababu ya presha ya mwili

Joined
Mar 7, 2025
Posts
15
Reaction score
14
1*pSZYnmSl1xm0aqYGNScSUA.png

Shinikizo la juu la damu (High Blood Pressure) ni hali ya msukumo wa damu kuwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu. Ni kweli mwili unahitaji msukumo huu ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa taka mwilini, lakini pale ambapo unakuwa juu kupita kiasi, athari zake ni kubwa na mbaya zaidi kwa wanaume.
Tafiti zimeonyesha kuwa asilimia 49 ya wanaume wenye umri wa miaka 40–79 wenye shinikizo la juu la damu wanakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume. Kwa ujumla, asilimia 65 ya wanaume wenye tatizo hili hupoteza angalau sehemu ya uwezo wao wa kijinsia, huku asilimia 45 wakikumbwa na hali mbaya zaidi.

Kwa Nini Shinikizo la Juu la Damu Hupunguza Nguvu za Kiume?​

Kuna njia kuu mbili:

  1. Kuzuia mtiririko wa damu kwenye uume
    Shinikizo la juu hudhoofisha mishipa ya damu (arteries) na kuifanya ishindwe kupanuka ipasavyo. Mishipa midogo kwenye uume hushindwa kujiachia vizuri, hivyo damu haitoshi kufika. Matokeo yake? Uume hushindwa kusimama kwa nguvu na kudumu.
  2. Kupunguza Testosterone
    Shinikizo la juu huathiri uzalishaji wa homoni ya testosterone, ambayo ndiyo injini kuu ya nguvu za kiume. Kiwango kidogo cha homoni hii husababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kijinsia.
Mbaya zaidi, dawa nyingi zinazotumika kutibu shinikizo la juu la damu huchangia kuongeza tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.

Dalili za Shinikizo la Juu la Damu​

Wanaume wengi wanahangaika na nguvu za kiume bila kujua tatizo halisi ni shinikizo la damu. Dalili zake ni pamoja na:

  • Maumivu ya kichwa (hasa nyuma ya kichwa asubuhi)
  • Kizunguzungu na kuchanganyikiwa
  • Mvumo au kelele masikioni
  • Kuzirai mara kwa mara
  • Uchovu na mapigo ya moyo kwenda kasi
  • Kuona ukungu na mara nyingine damu kutoka puani
Ukiwa na dalili hizi na ukakosa nguvu za kiume, kuna uwezekano mkubwa chanzo chake ni shinikizo la juu la damu.

Suluhisho Lako Lipo Hapa​

Badala ya kuendelea kuhangaika na madawa yasiyoeleweka, unaweza kupata msaada wa kweli. Victoria Green Herbal tumebobea katika kutibu tatizo hili kwa kutumia tiba asilia ambazo huleta matokeo ndani ya siku tano tu.

👉 Kama una changamoto ya nguvu za kiume au unahitaji dawa ya kuongeza nguvu zako, fika ofisini kwetu Nkolani, Mwanza.
👉 Kwa walio mbali, tunatuma dawa mkoa wowote nchini Tanzania.

📞 Piga simu au WhatsApp kwa namba +255 747 558 143 ili uanze safari ya kurejesha nguvu zako za kiume na kujiamini tena kitandani.
 
Sometimes sisikilizagi dalili
Unakuta kama dalili zote unazo
Au kujihisihisi
Ukiskia huku mbona kama ninayo
Wakitaja ugonjwa mwingn
Kadalili moja wapo🤔 mbona ninayo
Mwisho wasiku unaathirika kuanzia akilini

1F3B4BC8-D018-4978-8711-A3B70132C3EE.jpeg


Mfano kama wanatangaza magonjwa 10
Hamna dalili haukosekani hapo
 
Back
Top Bottom