we unanawa?
Ni Vyema Ungefanya uchunguzi wa Kujua kwanza Athari za Hao Wasio nawa na Ukaja Na Majibu kwamba Kati ya Wanaume 100 waliotoka haja ndogo niliowapima nimewakuta Wanamaambukizi kwenye mikono
Ila Siyo Kuja Na Hisia Zako za Kinyaa Na Kusema Ni Utafiti...
Ukweli ulioje! Hasa kwa nchi zetu za Afrika. Ukiwa baa yoyote hapa Tanzania wanaume wengi wanaokwenda kijisaidia haja ndogo hawanawi mikono, hata kama kuna bomba na maji safi. Lakini kinachokera zaidi ni kuwa bar na hotel nyingi ukiingia vyooni unakutana na gudulia moja kubwa lenye maji na kopo kwa pembeni! Sasa kunawia maji na vifaa vya kuchangia yya aina hii wengine wanaona ni bora wasepe bila kunawa!Amani iwe kwenu wana JF,
Leo nimeona nizungumzie katafiti uchwara kadogo nilikokafanya juu ya usafi binafsi hasa wa wanaume. Wanaume wengi wakitoka kujisadia haja ndogo huwa hawanawi mikono. Kwa maneno mengine ukipeana mkono na mwanaume kuna uwezekano umeligusa dude lake kidigitali. Hali hii inachagiwa sana na kukosekana na maji safi/sabuni hasa sehemu za watu wengi baa, kumbi za starehe n.k . ingawa kuna baadhi ya wanaume wamekiri kuwa hata nyumbani huwa hawanawi mikono.
Wewe unanawa mkono baada ya kujisaidia haja ndogo?
Aeleze vizurWewe jinsia gani ? Tuanzie hapo
Wewe jinsia gani ? Tuanzie hapo
Hatushiki mikojo tukipeana mikono, ila tunashida "midude" yao maana si huwa wakikojoa lazima aishikilie halafu anakung'uta kung'uta