Wanaume wengi hawasafishi mikono baada ya kujisaidia

Wanaume wengi hawasafishi mikono baada ya kujisaidia

Wale wenye vidude vyenye urefu mfupi wakikung'uta kung'uta lazima mikojo inabakia kwenye mikono yao. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Tunasambaziana mikojo bila kupenda
hahahahaahahah
 
Amani iwe kwenu wana JF,

Leo nimeona nizungumzie katafiti uchwara kadogo nilikokafanya juu ya usafi binafsi hasa wa wanaume. Wanaume wengi wakitoka kujisadia haja ndogo huwa hawanawi mikono. Kwa maneno mengine ukipeana mkono na mwanaume kuna uwezekano umeligusa dude lake kidigitali. Hali hii inachagiwa sana na kukosekana na maji safi/sabuni hasa sehemu za watu wengi baa, kumbi za starehe n.k . ingawa kuna baadhi ya wanaume wamekiri kuwa hata nyumbani huwa hawanawi mikono.

Wewe unanawa mkono baada ya kujisaidia haja ndogo?
naona umekuja spidi hapa baada ya kujitafiti mwenyewe
 
Nilifundishwa ukitoka chooni iwe haja ndogo au kubwa ni lazima kunawa mikono kwa sabuni. Ni uchafu uliokubuhu kama hutanawa mikono.
 
Me nkajua haja kubwaa... Kumbe ndogo... Kama una vidonda unawee... Bombadie sio chafu... Bro labda ww kama unatoa maji maji au ukikojoa una jikojoleaga mkononi Kwanza

Ukinya ndo unanawa...basi kama ndo ivo ukimaliza kuoga tu fua taulo... Maana c unajifuta futa mpaka kunakoo...

Wavulana c Dili sana kunawa Wakati kwa kukojoa... Mwanang utakua una nawa ata ukijigusa ki kwapa... Unajiona msaaaafiii
 
Back
Top Bottom