Wanaume wengi tumefanya huu mchezo. Asibishe mtu

Wanaume wengi tumefanya huu mchezo. Asibishe mtu

[emoji23][emoji23]nikifka pale naskilizia kama sekunde tano hivi mpaka receptionist anashangaa kwamba huyu jamaa hajui jina lake au kumbe ndo nafikiria leo niandike la nani [emoji28][emoji28]
wanaume wa dar ndo tabia yenu
 
Andikeni majina yenu jamani maana likitokea tatizo lolote ukiwa pale, taarifa zako hazitafanya kazi kabisa.
 
Tofauti na jina zile info zinazofuata wengi ndio wanadanganya kupitiliza
 
Back
Top Bottom