Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Sometimes ninarudi ni kipenda sanahahahahahah lol! Na njemba ikakubali huu uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes ninarudi ni kipenda sanahahahahahah lol! Na njemba ikakubali huu uongo?
Sometimes ninarudi ni kipenda sana
Swadata mkuuKitanda hakizai haramu
Kule kwetu ukimkuta mwanamke anamtoto unamlea kama wako na hakuna hata chembe za ubaguzi.Swadata mkuu
Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahiaKule kwetu ukimkuta mwanamke anamtoto unamlea kama wako na hakuna hata chembe za ubaguzi.
Ila pia na wanawake wanajiheshimu ukishamuoa ni Vigumu kurudi tena kwa baba mtoto
Sijui wapi wapo sahihi [emoji4]Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahia
Ndiyo maana single moms huku wachache saana ni wa kubahatisha.Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahia
Ninadhani ni kufuata roho yako tu, wadada waliozaa ninawapongeza kwa kutokutoa mimba na pia wanakuwa wake wemaSijui wapi wapo sahihi [emoji4]
HahahaHivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?
Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida na desturi mume ama mke kuwa na mpenzi wa nje. nasikia mnawaita mchepuko. lets have a walk
Uzinzi wa nje ya ndoa umefikia mbali na wengi wanaonekana kufurahia maisha haya. inafikia hatua mwanaume anapozini na mke wa mtu huwa hajali vitu kama kushika mimba, mwanamke yupo kwenye siku za hatari n.k kwa uchunguzi wangu usio rasmi wanaume wengi linapokuja suala la kutembea na mke wa mtu only few percent not more than 7% ndio huwaza athari zitakazotokea pindi akifanya hiyo ejaculation yake ndani. What are the consequences?
Wanaume wengi hawajali, utasikia jamaa hatojua kama sio wake, ama mimi mwenyewe sijui kama hawa ninaolea nyumbani ni wa kwangu. Wakati mwingine wanawake pia huchangia, unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa but anamwambia aliyewahi kuwa ex wake lazima nizae na wewe. This is happening.
Kwa kuchepuka huku, kwa uzinzi ufanywao nje ya ndoa. Do you believe that child is yours?
Yereeeeewi, yamkini ni mtoto wa muuza genge pale jirani, ama yule mpaka kucha rangi mkeo anapoendaga, hivi si alikuwa na mtu kabla ya kumuoa, vipi ikiwa siku moja moja wanakutana kukumbushia, si unamwacha nyumbani muda mwingi na wewe upo kazini, je nyumbani atakuwa salama muda wote ama hata ndugu yako anapita kwa mkeo? kazini je, boss naye anamega kisela akishindana na baadhi ya wafanyakazi wenzake. Oooops, The world is not a safe place?, Lets go Mars!!
What is in your mind?
IdiotMi wangu wote wangu
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?

Partenity Fraud ndio tatizo kubwa linalozikabili ndoa nyingi sana kwa dunia ya sasa, Wanaume wengi sana wamekuwa wahanga na Waathirika wakubwa Sana wa janga hili.Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?