Wanaume wengi tunalea watoto wasio wetu

Mapenzi ya siku izi, unaweza kuchanganykiwa ukichukulia maanani,
 
Kule kwetu ukimkuta mwanamke anamtoto unamlea kama wako na hakuna hata chembe za ubaguzi.

Ila pia na wanawake wanajiheshimu ukishamuoa ni Vigumu kurudi tena kwa baba mtoto
Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahia
 
Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahia
Sijui wapi wapo sahihi [emoji4]
 
Huku kwetu Pwani kuoa dada mwenye mtoto/ watoto vijana wengi wanaona ni kama kununua nguo ya mtumba wakati wakati dada zao waliozaa wakipata mume wanafurahia
Ndiyo maana single moms huku wachache saana ni wa kubahatisha.

Na ndoa za zaidi ya wake wawili zinasaidia pia
 
Hahaha
 
Huwa nacheka sana mtu anasema sio lazima mtoto afanane na baba yake,anaweza kuchukua kucha za na vidole vya baba yake na asichukue kila kitu.

Nikwambie tu, mtoto wa ng'ombe hufanana na ng'ombe, huwezi kuta mtoto wa ng'ombe ana kwato za ng'ombe ila sura ya kondoo au mbuzi.

Haya yote ni sababu wanaume kukosa standards za kimahusiano na kuhisi wanawake ni very scarce being na kumbe kiuhalisia wao Wanaume ndio a very scarce being.

Kama unaona ni sawa mwanamke kuingia ndoani akiwa si Bikra. Then haya ya kutombewa na kuzalishiwa mke uyategemee sana tu maana kuna uwezekano mkubwa yakatokea sababu mwanamke uliyenae ana operate under the assumption kuwa unamtukuza na hauwezi kumreplace na mwanamke mwingine sababu yeye ndio only choice kwako.

Siku wanaume watakapoanza kuona ni kawaida kuwa na maamuzi ya kimisimamo bila kusitasita pale wanapokutana na wanawake wasio na standards then tutasolve asilimia kubwa sana ya migogoro ya kifamilia na mahusiano.

Unakuta mwanamke ana mawasiliano na wanaume kwenye simu unaishia kumfokea tu,hapo hautakiwi hata kufoka,ni unapiga chini ushahidi si huo hapo,aende kwa hao wanaume wanaomvutia huko nje wewe tafuta kazi mpya ambayo inaweka focus yake yote kwako na ujenzi wa familia yenu tu.
 
Utakufa bure kwa BP, kitanda hakizai haramu. Kuweni kama El Maasai. Ili mradi mtoto kazaliwa katika Boma hilo, basi ni familia ya Boma husika.
 
Vipi mkuu wamekusingizia mtoto nini?
 
Partenity Fraud ndio tatizo kubwa linalozikabili ndoa nyingi sana kwa dunia ya sasa, Wanaume wengi sana wamekuwa wahanga na Waathirika wakubwa Sana wa janga hili.

Hata Migogoro mingi Sana ya ndoa na Mauaji ya wenza, hususani Wanawake chanzo chake hasa ni kuwepo kwa tatizo hili kwa Wanandoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…