Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

Nakuunga mkono mkuu,.
Kiukweli kila mtu anaheshimu privacy yake na si vizuri kuiexpose bila ridhaa yake. Mbona yeye Huyo Dada hajawai kuuanika uchi wake ambao anautumia kama kitegauchumi Uko US ????

Leo hiii anadharirisha wengine??
 
Back
Top Bottom