steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Feb 15, 2018 Thread starter #101 Zilla The G said: Mwandiko wa Kilemutuz -Lemutuz huu. Kuwa makini na maandishi yako. Click to expand... Sawa kigori wake lemutuz
Zilla The G said: Mwandiko wa Kilemutuz -Lemutuz huu. Kuwa makini na maandishi yako. Click to expand... Sawa kigori wake lemutuz
Chris14 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 3,076 Reaction score 2,181 Feb 15, 2018 #102 steveachi said: Kwa upande wako unaonaje? Click to expand... Wewe umeangalia upande mmoja kwa kuwasakama hao wakina dada. Ukweli ni kwamba ktk jinsia zote kuna maumbile makubwa na madogo.
steveachi said: Kwa upande wako unaonaje? Click to expand... Wewe umeangalia upande mmoja kwa kuwasakama hao wakina dada. Ukweli ni kwamba ktk jinsia zote kuna maumbile makubwa na madogo.
Unbounced JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 345 Reaction score 434 Feb 15, 2018 #103 Nakuunga mkono mkuu,. Kiukweli kila mtu anaheshimu privacy yake na si vizuri kuiexpose bila ridhaa yake. Mbona yeye Huyo Dada hajawai kuuanika uchi wake ambao anautumia kama kitegauchumi Uko US ???? Leo hiii anadharirisha wengine??
Nakuunga mkono mkuu,. Kiukweli kila mtu anaheshimu privacy yake na si vizuri kuiexpose bila ridhaa yake. Mbona yeye Huyo Dada hajawai kuuanika uchi wake ambao anautumia kama kitegauchumi Uko US ???? Leo hiii anadharirisha wengine??