Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
We jamaa jangili kweli wako sita ukaenda kumtoa mmoja duuFirst Time Me Natongoza Msichana kwa Mara ya kwanza, Nilikwenda Moja kwa Moja akiwa na wenzake kama 6 hivi, nikamshika mkono nikamtoa pembeni, Nikamsifia alivyo Mrembo na nikaomba tuwe wote siku nzima, Mpaka kesho ananithamini na ananiheshimu, Kwa sababu Mwanaume kujiamini sana pia humfanya Mwanamke akusikilize na huwavutia wanawake wengi.