Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
We jamaa jangili kweli wako sita ukaenda kumtoa mmoja duuFirst Time Me Natongoza Msichana kwa Mara ya kwanza, Nilikwenda Moja kwa Moja akiwa na wenzake kama 6 hivi, nikamshika mkono nikamtoa pembeni, Nikamsifia alivyo Mrembo na nikaomba tuwe wote siku nzima, Mpaka kesho ananithamini na ananiheshimu, Kwa sababu Mwanaume kujiamini sana pia humfanya Mwanamke akusikilize na huwavutia wanawake wengi.
Live utaniambia ngoja ufikirie, namaliza kwa cm tukionana napakuwa mzigo na mazingira yetu ya gest na bar kilain!!Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..
Safi sanaFirst Time Me Natongoza Msichana kwa Mara ya kwanza, Nilikwenda Moja kwa Moja akiwa na wenzake kama 6 hivi, nikamshika mkono nikamtoa pembeni, Nikamsifia alivyo Mrembo na nikaomba tuwe wote siku nzima, Mpaka kesho ananithamini na ananiheshimu, Kwa sababu Mwanaume kujiamini sana pia humfanya Mwanamke akusikilize na huwavutia wanawake wengi.