Mfungo unasaidia mkuu"Pdidy" leo umetema yai kweli kweli. Pdidy wa bei ya jioni wewe.
Anyway mada nzuri mkuu.
Na wengine ukimpanhela sikuhio hadi ste ujawahipewa utapataDah kuna muda anaombwa pesa, ukimuambia huna tayari inakua kesi anasahau zile unazo mpakaga kila siku, unanuniwa mpaka basi sijui ukakope?
Saah hapo hata ukiomba unanyimwa tena hawa wasomi ndo kabisa, bora kuoa illeterecy tu,alafu mdogo unaweza kumkontrol na akakutii ila li shangazi mhhhhhh.
kuna kakitabu ka copy namjua huyu"Pdidy" leo umetema yai kweli kweli. Pdidy wa bei ya jioni wewe.
Anyway mada nzuri mkuu.
Basi sawaa,,Dah kuna muda anaombwa pesa, ukimuambia huna tayari inakua kesi anasahau zile unazo mpakaga kila siku, unanuniwa mpaka basi sijui ukakope?
Saah hapo hata ukiomba unanyimwa tena hawa wasomi ndo kabisa, bora kuoa illeterecy tu,alafu mdogo unaweza kumkontrol na akakutii ila li shangazi mhhhhhh.
Hawa mbona ni watoto wa kuchapa viboko kabisa