Mwanamke kaumbwa kubembelezwa, kuimbiwa, kulainishwa, kupapaswa, kushawishiwa, kubebwa, kulambwa, kunyonywa nk, mwanamke haparamiwi, mwanamke ni pambo, tazama hata mwili wake, mafuta mengi kuliko muscles.
Mwanaume kutongoza, kubembeleza, kuimbisha, kushawishi, kubeba, kunyonya, kulisha, kufundisha, kulinda, kuonyesha masculinity nk, ni sanaa ya uanaume tangu enzi za bustani ya Edeni.
Ni wajibu wetu kufanya haya iwe nje au kwenye ndoa, hata ndege, mbuzi/beberu, njiwa, kondoo, kuku/jogoo nk anamuimbia mkewe kabla hajampanda sembuse binadamu tunaojiita tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, aliyemuumba mwanamke soft?
Wanaume wameenda wapi jamani? Hiki kizazi mbona kinaaibisha? Tunataka tukifika nyumbani tu tukute tumetengewa kama bakuli la uji? Hata huyo mwanamke anakuwaje wet sasa? Mwanamke regardless umri wake ni mtoto wako wa kwanza jamani ndo maana tunawaita babes. Hata mama yako hushangai sometimes anakudekea? Sio anakutaka ni maumbile? Wakipeleka nje wanapobembelezwa mnakuja tena kuanzisha nzuri za kubrag
Dah masikitiko sana tulipofika
Wavulana wanaruhusiwa kumwaga mapovu wakati tunawapa shule ya hii sanaa bobevu na ya asili isiyotolewa popote siku hizi. Hivi si tunapaswa kurudisha jando wandugu? Wa umri wangu wapo wapi jamani?
Yoda