zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 178
- 460
Hamna mana ya kuoa, Sasa si bora nikae singo, shida tunachoka sana, unakuta nguo hazijafuliwa, viatu havijafulowa, nishike ndoo nianze kufua mwenyewe? Hapo lazima nionekane mchafu mana nilipo owa jukumu la usafi wa nguo na mahala pa chumba nilikukabidhi wewe.Huna kisingzio chochote wewe kua mchafu kama mkeo ni ngumbaru tafadhari jipende mwenyewe