Wanaume wengi wanabembeleza sex kwenye ndoa why? Upendo umeisha ama?

Dogo jana mkeka ulikataa kuchanika. Tottenham na Atalanta waliniangusha sana.
 
Kwenye kufunga ndoa kwa sisi wanaume naona kama huo ndio umri mzuri
✍️anaandika, zachariano alexido, nimeshuhudia ndoa za watoto kadhaa hawajakua kiakili changamoto ni nyingi sana binti kidogo anasusa, anabeba nguo anarudi kwao, ukafate ukabembeleze, kuchapiwa easy sana kuna ndoa zimevunjika naona hivi mbili ka sikosei walikua workers wenzangu.

Sishauri sana ni bora muwe kwenye uchumba, for long period than muoane✍️ mkiwa msha kuwa zaidi.
 
Hakuna cha katiba, ndoa unatumia akili sio hisia! Hata ukipanic ukiwa mkali utaishia kuwa kama unabaka tu!!
Sijaandika kuwepo na matumizi ya mabavu. Ukitumia akili sana kwenye Ndoa haswa kwetu wanaume utaandika talaka kila leo. Haimaanishi napinga maandiko ya tuishi nao kwa akili , ila akili iliyoagizwa ni ya kuwa mnyumbuliko.
 
Kwa kifupi ni Kwamba wanawake wa siku hizi ni wakavu Sana ukeni, hawana genye tena na tatizo kubwa ni VICOBA NA MIKOPO YA KAUSHA DAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…