Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
Aibu jamani, tubadilike.
MKURYA hapigi mke kwa panga, ukiona Mkurya napiga mke kwa panga ujue huyo ni shogaSio kweli. Chokoza mkurya uone kama hakukunyuka hata wewe japo ni expert wa kudunda mkewe almost daily
thats trueWengi wao wanakua na wasiwasi na uanaune wao, ile ndio njia pekee ya wao kuamini kwamba bado ni wanaume.
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
Aibu jamani, tubadilike.
sasa muwafanyeje ili waache kutoa vipondo?kutokujiamini
Sio kweli. Chokoza mkurya uone kama hakukunyuka hata wewe japo ni expert wa kudunda mkewe almost daily
sasa muwafanyeje ili waache kutoa vipondo?