mkurya chezea mke wake, lakini sio nyumba ndogo
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
Aibu jamani, tubadilike.

lakini kuna na wanawake wengine vichwa ngumu mpaka iwashwe vibao angalau viwili ndo akili inakaa sawa.:lol:
halafu mkuu umeoverload ujue, si unaona watu watano baiskeli moja??? Hadi yule mama wa pembeni anawashangaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Peleka mmoja mmoja bana.je na wanawake wanao waponda waume zao au mabwana zao unawazungumziaje?
midume inayopiga wanawake wao, ujue wana element za kike ndio maana wanaona wake zao kama wapinzani waoKuna kipindi nilikuwa napiga sana tungi, basi jamaa yangu mmoja alikuwa akimpenda sana baa medi mmoja pale NBC Club, yule demu alikuwa na bwana mtemi.
Basi jamaa yangu kila akipigwa na yule mtemi, hasira zake akawa anamalizia kwa kumpiga mkewe nyumbani kwake.
Kweli kabisa, wanaume wanaopiga wake zao ni wanyonge sana kwa wanaume wenzao/