Wanaume wengi wanaopiga wanawake, wanaogopa kupigana na wanaume wenzao

Wanaume wengi wanaopiga wanawake, wanaogopa kupigana na wanaume wenzao

lakini kuna na wanawake wengine vichwa ngumu mpaka iwashwe vibao angalau viwili ndo akili inakaa sawa.:lol:
 
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
Aibu jamani, tubadilike.

Kamchokoze mkurya kama hajakunyuka mpaka utoe nanihiii....na wanabonda wake zao vile vile....
 
Lakini kuna mwanaume kumpbga mwanamke na mwanamke kujipiga sijui kama hilo mwalijua wakina dada
 
mkuu umeongeaa sawaaa,je mwanaume anae pigwaaa na mke wake?kuna mjeshi mmoja alikuwa anapewaa kichapo na mkee wake mbayaaa,siku mojaa yule maza akamchomaa kisu akakimbia,alikuja mkubwa wa kambii kamchukua yule jamaa na vitu vyake vyote akamuamshiaa kambini,aliachaa maagizo kama huyo mwanamke anampenda mmewe amfate kambini,mwanamke hakurudi...tabia haina dawaa kuna mijitu nabondaa midume yezao hadi wake zao..ila kule kwetu mwanamke apigwiii,anapigwaa na cheni ya gold
 
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
Aibu jamani, tubadilike.

Je na wanawake wanao waponda waume zao au mabwana zao unawazungumziaje?
 
Ni ushamba wa hali ya juu kumpiga mpenzi wako na haisaidii kwa vile:
1.wazazi wake walimchapa weeeeeeeeeeeee hadi kakua tabia hiyo hajaiacha.
2. Walimu wake nao walibondaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, wapi bado hajabadilika.
Halafu wewe unataka kumbadili tabia kwa kumpiga !!!!!!!!!!!!!??????? Nani kasema kwenye ndoa/mapenzi ni sehemu ya kubadilishana tabia???
 
je na wanawake wanao waponda waume zao au mabwana zao unawazungumziaje?
halafu mkuu umeoverload ujue, si unaona watu watano baiskeli moja??? Hadi yule mama wa pembeni anawashangaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Peleka mmoja mmoja bana.
 
Kuna kipindi nilikuwa napiga sana tungi, basi jamaa yangu mmoja alikuwa akimpenda sana baa medi mmoja pale NBC Club, yule demu alikuwa na bwana mtemi.
Basi jamaa yangu kila akipigwa na yule mtemi, hasira zake akawa anamalizia kwa kumpiga mkewe nyumbani kwake.
Kweli kabisa, wanaume wanaopiga wake zao ni wanyonge sana kwa wanaume wenzao/
midume inayopiga wanawake wao, ujue wana element za kike ndio maana wanaona wake zao kama wapinzani wao
 
Back
Top Bottom