Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

japo wanasema laghai halaghaiwi, lakini huwezi jua kila kitu kila siku.

si wote , labda wewe ukikutana ndio huwa unawakalia kimtego mtego,

a man will treat you the same way you will define yourself.
 
Wengi humu ni majizi tu wa kumega..na wachache wa kweli wapo pia.. kwahiyo wendiwe wewe chambua magugu na ngano..kama umemstukia mtu mapema huna haja ya kujibu hata Pm ..na yeye mwenyewe atachoka
 
sio wanaumetu nimeshawahi kukutana mwanamke kupitia jukwaahili.tulikua na mawasiliano kama miezi 3 badae tukapanga kuonana kweli tulifanya hivyo natukaonana mimi nilimpenda pia akasema amenipenda.toka siku hiyo vituko vikaanza nikimpigia mara hapokei mara yukobize.akinibep nikipiga nikwamba atakua na shida yahela.alivyoona stoboki.alinipotezea mazima.
 
Duuh hii ni hatari, yani ndio nilikua namalizia kuandika uzi wangu wa kutafuta mume hapa jukwaani, inabidi nisitishe , nijipange kivingine.

usikatishwe tamaa na wendie, bado kuna wanaume wapo serious and they are there waiting for you...

MUHIMU: inategemea na first meeting utakayokutana na huyo mtu, the way utakavyokuwa umevaa and the way utakavyokuwa una akti !

ukiwa umekuja kirahis rahis, umevaa kichangu-changu nami nitakuchukulia kama ulivyokuja.
 
sio wanaumetu nimeshawahi kukutana mwanamke kupitia jukwaahili.tulikua na mawasiliano kama miezi 3 badae tukapanga kuonana kweli tulifanya hivyo natukaonana mimi nilimpenda pia akasema amenipenda.toka siku hiyo vituko vikaanza nikimpigia mara hapokei mara yukobize.akinibep nikipiga nikwamba atakua na shida yahela.alivyoona stoboki.alinipotezea mazima.

Pole ndugu yangu... Kwa kweli huku love connect kumejaa vituko vya kila aina. Alijua amepata buzi la kulichuna.. Bora ulishtuka mapema!
 
usikatishwe tamaa na wendie, bado kuna wanaume wapo serious and they are there waiting for you...

MUHIMU: inategemea na first meeting utakayokutana na huyo mtu, the way utakavyokuwa umevaa and the way utakavyokuwa una akti !

ukiwa umekuja kirahis rahis, umevaa kichangu-changu nami nitakuchukulia kama ulivyokuja.

Sijasema namkatisha tamaa mtu yeyote humu jukwaani ila nimetoa tuu tahadhari, kwani kuna baadhi ya wadada/wakaka wamefanikiwa kupata wenzi kupitia jukwaa hili..! Ila ukweli utabaki kuwa pale pale majority hawako serious kabisaaa..

Mwanaume ambaye anadhamira ya sex hata ukienda umevaa kaniki au gunia dhamira yake itabaki kuwa ile ile..!
 
Inawezekana umevaa kaniki/gunia lakini unaniletea pozi za kunitamanisha, badala ya pozi za serious za mchumba bora, unafikiri mawazo si nitayageuza fasta nami nitakupokea kama ulivyokuja...
 
Wewe endelea kubisha lakini ukweli utabaki kuwa pale pale...! Kuna wanaume humu wako kwa ajili ya kutafuta wadada wa kufanya nao ngono ila wanakuja kwa hicho kisingizio cha mchumba..!
 
nabisha au nasema yangu ninayoyaamini? ukija kwa pozi za ki-easy-easy nami nitakuchukulia kama ulivyokuja kuja. FULL STOP
 
Kumegwa sijamegwa..! Ila nimeshtushwa na tabia zinazofanana kwa wanaume wote wanne za kuonyesha seriousness kwenye post zao lakini hawamaanishi hivyoo..! Bora tu waandike NATAFUTA DADA WA KU SEX NAE ijulikane moja!

hahah eti dada wakkusex nae...trust me unaongea tuu mwanamke ata kama she loves u kimwambia i dig and wana taste ur warmspot atasema oh umeniona mie cheap....so the only way to get mwanamke kupanua miguu ni kumdanganya tuu kuwa wampenda...and ladies like that coz if they didnt no man will be getting K
 
nabisha au nasema yangu ninayoyaamini? ukija kwa pozi za ki-easy-easy nami nitakuchukulia kama ulivyokuja kuja. FULL STOP

Haya kaka..... Kila mtu na aendelee kuamini anacho amini sio ligi hii..!
 
una roho? Au moyo? Au hisia?

Ukifinywa unahisi? Au una ganzi?

Au una kifua tu na kifaa cha kusambaza damu??

Comment zako sijui huwa zimekaaje

dah!

hahah eti dada wakkusex nae...trust me unaongea tuu mwanamke ata kama she loves u kimwambia i dig and wana taste ur warmspot atasema oh umeniona mie cheap....so the only way to get mwanamke kupanua miguu ni kumdanganya tuu kuwa wampenda...and ladies like that coz if they didnt no man will be getting K
 
Hahahahahahahahah matapeli wa Jf chezeya wawinda vidude!kamwe usitake post za kutafuta mchumba seriously pole pia, wanne tofauti?au nawe uko desperate 2 find sm1?
 
Hello JF members..!

Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!

Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!

  • Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!

  • Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??

Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!

Ukiona hivyo ujue wengi wameathirika na ukimwi. Wanawaharibia sana lonely hearts wa ukweli.
 
Hahahahahahahahah matapeli wa Jf chezeya wawinda vidude!kamwe usitake post za kutafuta mchumba seriously pole pia, wanne tofauti?au nawe uko desperate 2 find sm1?

Nilikuwa sijajua kwamba ndio nia yao, hivyo nilipokuwa naona mmoja hanifai nampotezea, mwingine akitoa post na nikiona nina vigezo ninarespond hivyo hivyo mpaka wa 4..! Ndio hapo nikaja kujua kumbe asilimia kubwa ya hawa wanaume humu hawako serious..!

Kwenye PM tuu mtu anapanga mpaka hotel/guest house gani ya kwenda kwa ajili ya sex..! NIMEKOMA Mieee.....
 
una roho? Au moyo? Au hisia?

Ukifinywa unahisi? Au una ganzi?

Au una kifua tu na kifaa cha kusambaza damu??

Comment zako sijui huwa zimekaaje

dah

hahahaha mie naongea ukweli kwa sababu mwanzoni nilikuwa nadhani ukweli ndio demu anachotaka. mwe demu u like each other alafu unamuomba sex anasema umenidharau....ila nilipojua ukipiga sweet nothing, jamani swity u beautiful oh u make my heart go fast naona itabidi nizae na wewe watoto ili wapate macho yako ah hapo goma ndio linaingia line kweli kweli.
 
may be

wanamme akili zenu manazielewa wenyewe.

Eti goma linaingia line, jamani!

hahahaha mie naongea ukweli kwa sababu mwanzoni nilikuwa nadhani ukweli ndio demu anachotaka. mwe demu u like each other alafu unamuomba sex anasema umenidharau....ila nilipojua ukipiga sweet nothing, jamani swity u beautiful oh u make my heart go fast naona itabidi nizae na wewe watoto ili wapate macho yako ah hapo goma ndio linaingia line kweli kweli.
 
Hello JF members..!

Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!

Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!

  • Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!

  • Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??

Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!

Tahadhari yako ni muhimu na utaona wale wenye mchozo huo majibu yao yalivyo unaweza kuapta picha halisi.
Kwa vyo vyote ingefaa wenye mtandao wangejaribu kuboresha mdano uwe na utaratibu ambao si kama huu wa mtindo wa kujadiliana, maana mambo ya mapenzi yenye kuelekeza maisha ya pamoja ni mwendo mwingine tofauti na huu wa kijiweni.

Kuna mambo kadhaa ambayo ningeshauri JF kufanyia marekebisha mtandao huu kwa baadhi ya majukwaa, kazi ambayo naiandaa, sitaiwakilisha hapa kwenys kilima cha Aleopago, bali kwa wahusika maana ni jambo la kiofisi.
 
Wendie mdogo wangu,mwanaume mwenye nia hawezi weka mapenzi yake kwa mtandao,wenye nia wapo huko unakoishi,unakofanya kazi,unakofanya biashara,ni hao wanao kuona,ni hao unaoshinda nao,otherwise wawe hawaoneshi nia.mitandaoni kuna wasanii wa mapenzi,watukutu wa mapenzi na wezi wa mapenzi.lengo la jf love connect ni jema ila watumiaji probs.usiendelee kupoteza muda tazama huko uliko vijana wenye nia wapo,utashindwa weye!nakuombe kheri umpate mwenye sifa sawa na haja ya moyo wako! be blessed!
 
Tuwekeeni hizo sifa za mwanaume wa ukweli(au serious)
Ili na-mimi niandae CV yangu accordingly.
 
Back
Top Bottom