si wote , labda wewe ukikutana ndio huwa unawakalia kimtego mtego,
a man will treat you the same way you will define yourself.
Duuh hii ni hatari, yani ndio nilikua namalizia kuandika uzi wangu wa kutafuta mume hapa jukwaani, inabidi nisitishe , nijipange kivingine.
sio wanaumetu nimeshawahi kukutana mwanamke kupitia jukwaahili.tulikua na mawasiliano kama miezi 3 badae tukapanga kuonana kweli tulifanya hivyo natukaonana mimi nilimpenda pia akasema amenipenda.toka siku hiyo vituko vikaanza nikimpigia mara hapokei mara yukobize.akinibep nikipiga nikwamba atakua na shida yahela.alivyoona stoboki.alinipotezea mazima.
usikatishwe tamaa na wendie, bado kuna wanaume wapo serious and they are there waiting for you...
MUHIMU: inategemea na first meeting utakayokutana na huyo mtu, the way utakavyokuwa umevaa and the way utakavyokuwa una akti !
ukiwa umekuja kirahis rahis, umevaa kichangu-changu nami nitakuchukulia kama ulivyokuja.
Sijasema namkatisha tamaa mtu yeyote humu jukwaani ila nimetoa tuu tahadhari, kwani kuna baadhi ya wadada/wakaka wamefanikiwa kupata wenzi kupitia jukwaa hili..! Ila ukweli utabaki kuwa pale pale majority hawako serious kabisaaa..
Mwanaume ambaye anadhamira ya sex hata ukienda umevaa kaniki au gunia dhamira yake itabaki kuwa ile ile..!
Inawezekana umevaa kaniki/gunia lakini unaniletea pozi za kunitamanisha, badala ya pozi za serious za mchumba bora, unafikiri mawazo si nitayageuza fasta nami nitakupokea kama ulivyokuja...
Wewe endelea kubisha lakini ukweli utabaki kuwa pale pale...! Kuna wanaume humu wako kwa ajili ya kutafuta wadada wa kufanya nao ngono ila wanakuja kwa hicho kisingizio cha mchumba..!
Kumegwa sijamegwa..! Ila nimeshtushwa na tabia zinazofanana kwa wanaume wote wanne za kuonyesha seriousness kwenye post zao lakini hawamaanishi hivyoo..! Bora tu waandike NATAFUTA DADA WA KU SEX NAE ijulikane moja!
nabisha au nasema yangu ninayoyaamini? ukija kwa pozi za ki-easy-easy nami nitakuchukulia kama ulivyokuja kuja. FULL STOP
hahah eti dada wakkusex nae...trust me unaongea tuu mwanamke ata kama she loves u kimwambia i dig and wana taste ur warmspot atasema oh umeniona mie cheap....so the only way to get mwanamke kupanua miguu ni kumdanganya tuu kuwa wampenda...and ladies like that coz if they didnt no man will be getting K
Hello JF members..!
Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!
Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!
- Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!
- Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??
Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!
Hahahahahahahahah matapeli wa Jf chezeya wawinda vidude!kamwe usitake post za kutafuta mchumba seriously pole pia, wanne tofauti?au nawe uko desperate 2 find sm1?
una roho? Au moyo? Au hisia?
Ukifinywa unahisi? Au una ganzi?
Au una kifua tu na kifaa cha kusambaza damu??
Comment zako sijui huwa zimekaaje
dah
hahahaha mie naongea ukweli kwa sababu mwanzoni nilikuwa nadhani ukweli ndio demu anachotaka. mwe demu u like each other alafu unamuomba sex anasema umenidharau....ila nilipojua ukipiga sweet nothing, jamani swity u beautiful oh u make my heart go fast naona itabidi nizae na wewe watoto ili wapate macho yako ah hapo goma ndio linaingia line kweli kweli.