Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!


Well said..!
 

Nashukuru sana ndugu.. Umenipa ushauri mzuri sana..!
 
Unajua kuna watu wanatoa matangazo yanaonyesha wanahitaji wenza ... Sasa huko kwenye PM ndiko balaa linakoanzia, na asipoleta balaa huko mkionana tuu ni sex ndio inatawala. Nimekoma mwaya!
Umekutana na wrong people tu,watu serious tupo sana basi tu hujapata bahati ya ku'pm'iwa na sisi!
 
Hahahahaha!

Kuna mzembe mmoja nlimuibukia na ID ya jina la kike. Lilitongoza mpaka nikakoma!

Nikalipangia appointment lije baa ya jirani. Likaja kweli asee. Acha tulichore na washkaji zangu! Limeganda pale mpaka saa tano usiku zembe likasubiri daladala likakosa likapotea na tuktuk....

Usisahau kwenye PM lilishajibaraguza linamiliki Vogue na nyumba Mbezi beach! Manina zangu babu yenu mimi

Chezeya JF wewe?
 
Hahaha. Bhange zako nazikubali. Ngoja na mie nianze id ya kibaba, nataka kumkamata mdada mwenye tamaa.
 

Babu wewe ni noma aiseee...! Kumbe hana cha vogue wala vitz..Lol.. JF haiishi vituko!
 
Ukitafuta mchumba humu JF you have to be extra carefull. Kwa wadada wengi wanamaanisha ila kwa wakaka nakuwa na wasiwasi kidogo. Its true wengi wapo kingono zaidi, wengi wanafikiri ukitoa tangazo la kutafuta mchumba basi umekata tamaa ya maisha hivyo anaweza akakupelekesha jinsi atakavyo. Its very wrong, ila wapo wenye dhamira za wazi ila ndio mmoja kati ya mia moja. BE CAREFUL!
 

Ni kweli kabisa ndugu yangu...!
 
Sema ilikuwa na bahati ya kupata mafataki
 

Angekufuma ungeshikishwa adabu
 
Agh!!!! We unaweza kununu gari bila kuritest? uummmmmmm test makes dction. Test before.
 
KAMA ni kweli ulifanya hivyo,basi u got a serious problem,yaani ukam time,ukawa unamchora-u had time to do all this na ugreat thinker wako wote-u must be leading a really sad empty life-i refuse to believe this story but kama ni kweli u need counselling big time
 
Wendie, I can asure you hakuna mwanaume serious atatafuta mke mtandaoni. Sisi tunapenda kwa kuona sasa humu utapenda nini, avatar? be careful my dada!! Lakini una akili wewe, umeshitukaje kwa kuitwa darling hata bila ya kuonana? Your intuitions are right. Keep searching na utakamata mmoja masikio one day!!
 

Wengi wanataka vishimo vya kusuuzia rungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…