Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 172
Ni utafiti usio Rasmi, wagonjwa wengi wa kisukari ni wanaume kuliko
wanawake. Hii inatokana na takwimu nilizonazo mwenyewe, asilimia 95
(95%) ya wagonjwa wa kisukari ninaowafahamu au niliowahi kukutana nao
ni wanaume.
Kama ni kweli naomba ufafanuzi kutoka kwenu hii inatokana na nini?
MAELEZO MAFUPI
1.Mbagala ninawafahamu wagonjwa 4 wa kisukari wote ni wanaume
2. Nina ndugu zangu 6 wanasumbuliwa na kisukari, wajomba 2,baba mkubwa,
Babu,binamu yangu(mwanaume) na mama mkubwa yaani wote hao ni mmoja
tu mwanamke.
2.Nyumba ninayoishi sasa hivi baba mwenye nyumba pia ana kisukari.
Naomba ufafanuzi huku kwanza kabla hawajaipeleka jukwaa la Madaktari
pengine naweza kupata hoja tofauti.
Ahsanteni.