Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri.mmojaa hamna purukushani mnakulaa dodo lenu taratibu bila stress yaan mkiamuaa ni siku ya kulaa mnakulaa kweli mpkaa kokwa[emoji23][emoji23][emoji23]bilaa vurugu
Ila sasa mimi mbona hizi sifa zinazotolewa hapa zinapelea, sijajua nakwama wapi, ngoja tukikutana kwenye kahawa na wazee wenzangu tulijadili wanipe mbinu.