Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

tuwe wa kweli unjisikiaje una miliki Simu za kuanzia laki Tano lakini huna Kiwanja kiwe cha kijijini au Mjini.. Hivi unajua kujitambua kunaanza kwa kumiliki asset.. Simu siyo Asset ... Kweli Maada imewagusa wengi mno... Ona Wale waliokuwa wanajiona Watoto wa Mjini wanavyoumbuka halafu hata kitu cha kwako huna... Mimi Ninavyo Vitatu Kimoja kipo Beach Lindi, Kingine kipo Geita Uzunguniz-Ushirombo. na Kingine kipo Morogoro nimejenga na nina haki ya kukaa bar nakuagiza bia.

Hii nimeitoa makusudi ili Watz tubadilike na tujiasses where are we heading tunamlaumu Mh Rais kwa kuwa tulio wengi tumezoea kubebwa kwenye mambo mengi ... Hivi Unajisikiaje kuendelea kuishi kwenu huku ukiwa umesomeshwa mpaka level ya Degree, Hivi unajisikiaje kuishi kwenye Nyumba iliyojengewa na Mtu ambaye unamzidi kipato lakini wewe huoni kujenga ya Kwako...

Leo hii tunashindan kweny mitandao ya kijamiii kuonyesha aina ya Simu tulizonazo na ikivunjika kioo tu kinabadilishwa lini uliwahi kuwekeza kwenye vitu vya thamani kama ardhi na Nyumba...

Poleni ila kuna watu wamenielewa.

Mfano Mwingine Diamond Platnum hawezi kufananishwa na Alikiba ..... Hasa ukiangalia kwenye hili suala.....
 
Kwani kiwanja ndio nini kwa haya maisha.. Mi nadhani ni uzamani.. Mwanaume wa kweli kwa kipindi hiki hajivunii kua na kiwanja anajivunia kua na Mira's kadhaa inayo muingizia kipato... Kwa mfano wewe umepata m 3 mbaya zaidi yote umepeleka kwenye kiwanja... Hapana issue ni kua na miradi ya maana
 
majumba yote haya .....Sijawahi kulala nje 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Acha kukariri maisha dogo. Anyway ukikua utaelewa maisha na mafanikio ni nini na kwamba ni zaidi ya ardhi ya urithi! By the way ardhi ni ya rais, kulikuwa na watu wana mansions kule Kimara leo ni homeless.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si ajabu umenunua shamba Ruvu na wewe unajihesabia una kiwanja.
AMBALO PIA FAIDA YAKE INAWEZA KUKUPATIA VIWANJA ....................... HII NI AKILI PIA
 
Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
acha ujinga na kuwapotosha pia kuwakatisha tamaa wenzako kuwa hawajafanya kitu.
kwa hali ya kwaida umri huo ndio labda kijana ana miaka minne kazini tena yule aliyewahi shule na kupata kazi moja kwa moja sasa kwa kipato gani halali waweze kununua gari na kuendea ofisini na kuwa na kiwanja.
achilia mbali nusu ya vijana wa umri huo hawana kazi halafu unatoka kabisa mtoto wa kiume eti aliye na umri huo hana kiwanja aone aibu! shame upon you!
 
Katika vitu vinavyowafanya Watanzania Wengi tufeli mitihani ni pamoja na kutosoma vizuri neno kwa neno.. Nimeongelea Wanaume wenye zaidi ya Umri kuanzia 25 Year of age..... Yaani E Mungu tusaidie kizazi hiki tukujua umakini
 
Jf kweli imevamiwa, hiv kweli kila anayenunua kiwanja aje aseme hapa jf?
 
Katika maisha iko hv kuanzia miaka 5-23 ni muda wa kupata elimu pri- univ 25-35 muda wa kuandaa maisha nyumba,familia na kujenga uchumi kwaajili yako na kizazi kijacho 35-55/60 ni muda wa kusimamia na kuboresha miradi yako pamoja na kukijenga kizazi chako kuendeleza kile ulichokianza 60-------------- muda wa kupumzika na mkeo kama Mungu amewajaalia kuwa hai kama mmoja atakuwa hayupo kula bata kwa raha zako huku ukiwa kama mshauri na mmiliki wa kile ulichokianzisha andaa jina lako kwaajili ya manufaa ya kukuza miradi yako na siyo kwaajili ya matumizi ya ukoo wako wenye nokia smart mtanielewa nokia ya tochi ukikwama nitafute
 
Katika vitu vinavyowafanya Watanzania Wengi tufeli mitihani ni pamoja na kutosoma vizuri neno kwa neno.. Nimeongelea Wanaume wenye zaidi ya Umri kuanzia 25 Year of age..... Yaani E Mungu tusaidie kizazi hiki tukujua umakini
nimeelewa basi angalau ungesema arobaini ungeeleweka 25 ni midogo sana labda kama haukwenda shule ndefu yaani umemaliza la form four kazi hiyo.
vijana wengi wanaoa wakifika 32- 35 na muda huu kwa maisha halali wanapanga upande tu hivyo si rahisi kaka kubali umekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…