Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli huna akiliWalio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Acha kukariri maisha dogo. Anyway ukikua utaelewa maisha na mafanikio ni nini na kwamba ni zaidi ya ardhi ya urithi! By the way ardhi ni ya rais, kulikuwa na watu wana mansions kule Kimara leo ni homeless.Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
[emoji1]hahaha, eti thraed zisizo mpendeza!!! nuimecheka
AMBALO PIA FAIDA YAKE INAWEZA KUKUPATIA VIWANJA ....................... HII NI AKILI PIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ajabu umenunua shamba Ruvu na wewe unajihesabia una kiwanja.
ha ha ha 4sureHuyu jamaa mwehu ee? Viwanja morogoro unapewa hadi bure tu kama ukimsalimia mwenyekiti wa kijiji kwa heshima.
acha ujinga na kuwapotosha pia kuwakatisha tamaa wenzako kuwa hawajafanya kitu.Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Sema hisa ili akuelewe kirahisiMimi sina ila nina shares zinathamani ya Tshs 196m
Katika vitu vinavyowafanya Watanzania Wengi tufeli mitihani ni pamoja na kutosoma vizuri neno kwa neno.. Nimeongelea Wanaume wenye zaidi ya Umri kuanzia 25 Year of age..... Yaani E Mungu tusaidie kizazi hiki tukujua umakiniacha ujinga na kuwapotosha pia kuwakatisha tamaa wenzako kuwa hawajafanya kitu.
kwa hali ya kwaida umri huo ndio labda kijana ana miaka minne kazini tena yule aliyewahi shule na kupata kazi moja kwa moja sasa kwa kipato gani halali waweze kununua gari na kuendea ofisini na kuwa na kiwanja.
achilia mbali nusu ya vijana wa umri huo hawana kazi halafu unatoka kabisa mtoto wa kiume eti aliye na umri huo hana kiwanja aone aibu! shame upon you!
nimeelewa basi angalau ungesema arobaini ungeeleweka 25 ni midogo sana labda kama haukwenda shule ndefu yaani umemaliza la form four kazi hiyo.Katika vitu vinavyowafanya Watanzania Wengi tufeli mitihani ni pamoja na kutosoma vizuri neno kwa neno.. Nimeongelea Wanaume wenye zaidi ya Umri kuanzia 25 Year of age..... Yaani E Mungu tusaidie kizazi hiki tukujua umakini