Mkuu umenichekesha sana.. Kwa kifupi Mkuu 75% ya Familia za Watanzania wanaangukia kwenye hizo kundi mbili ulizozitaja Kwa hiyo mimi sipingani na wewe kuwa katika au kuwa zao la makundi hayo na ukweli nakata na sitakuja kuishi maisha ambayo Babu zangu , au walionitangulia wameyaishi na ndiyo maana najaribu kuwaamsha vijana wenzangu kulitambuwa hilo...
Kiufupi Mkuu mifano ipo mingi, Wangapi Vijana wenzetu wapo Mjini na wanaonekana kutoka kwenye familia bora lakini ukiwambia wakupeleke kwa wazazi wao hawathubutu? Wangapi upo nao hapo ulipo lakini maishi yao wanayoishi ni ya kiujanjaujanja tu .. Let us be realistic na tujipange kabla ya aibu kukuta Mkuuu... Wapi Mr. Nice nani Msanii alikuwa na hela kama Mr Nice wapi yupo//