Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

Katika maisha iko hv kuanzia miaka 5-23 ni muda wa kupata elimu pri- univ 25-35 muda wa kuandaa maisha nyumba,familia na kujenga uchumi kwaajili yako na kizazi kijacho 35-55/60 ni muda wa kusimamia na kuboresha miradi yako pamoja na kukijenga kizazi chako kuendeleza kile ulichokianza 60-------------- muda wa kupumzika na mkeo kama Mungu amewajaalia kuwa hai kama mmoja atakuwa hayupo kula bata kwa raha zako huku ukiwa kama mshauri na mmiliki wa kile ulichokianzisha andaa jina lako kwaajili ya manufaa ya kukuza miradi yako na siyo kwaajili ya matumizi ya ukoo wako wenye nokia smart mtanielewa nokia ya tochi ukikwama nitafute
Wabongo wanavyojua kuangalia erros nawajua karibuni pia ndio kazi yenu
 
nimeelewa basi angalau ungesema arobaini ungeeleweka 25 ni midogo sana labda kama haukwenda shule ndefu yaani umemaliza la form four kazi hiyo.
vijana wengi wanaoa wakifika 32- 35 na muda huu kwa maisha halali wanapanga upande tu hivyo si rahisi kaka kubali umekosea.
Yaani kijana kuoa 32-40 umeshachelewa sana yaani muda wenzio wanatafuta pesa wewe bado unaishi nyumba ya kupanga au nyumba ya ofisi alafu ndio kwanza unalea na haujaanza kusomesha dah pole sana vijana angalau 25-35 umeshamaliza kuzaa unasomesha na kutafuta pesa,kujenga miradi na kulea familia unasubiri uzeeni umeshachoka akili ndio mtoto yuko prim- utakufa kwa msongo wa mawazo
 
25 utampa stress mtoto wa watu kwanza kiukweli bado vidosho vinakumendea havijakubali kama umeviacha hapa ni vurugu sasa angalau ukifika 32 wengi uliosoma nao wachakuwa wakubwa na wameamua kwa dhati kukuachia uwende tu kwa kuwa kwa kipi hiki utaoa binti below 27 lakini hatazidi 21 na maisha yatakuwa poa hutakuwa na muda wa kumchoka kivilee kwa kuwa kila stage umepita.
 
Hao wa kuumia roho waache tafuta super women amabaye anauwezo wa kusimama na kukushauri maswala ya maendeleo utafute pesa hao mbona tutakutana mbeleni unawala bure tu bila hela tena unakula chipukizi si hela unayo
 
tehe.....thee... dogo mbishi ngoja wanunue kesi wakupelekeshe wapo wanakuangalia
 
Tuliacha kununua viwanja kwa kuwa mliingiwa na tamaa mkawa mnaviuza bei ya kufuru. We kaeneo kadogo mtu anataka milion ishiri wakati kwa Singida au mikoani milioni ishirin mtu unapata kiwanja cha milioni moja na milioni kumi na tisa unajenga nyumba. Sasa viwanja vyenu vinafuga tu majoka. Mmebaki kujifariji na tuviwanja huku sote tunakabwa kodi!
Kuna jamaa walikopa kama milioni thelasini benki, wakanunua viwanja vya milioni 25, huu mwaka wa tatu hawajawahi hata kujenga choo cha shimo!
 
Huyu jamaa mwehu ee? Viwanja morogoro unapewa hadi bure tu kama ukimsalimia mwenyekiti wa kijiji kwa heshima.
Sijuwi mkuu ume fikiria nn maana nime cheka kwenye basi paka abiria wote Wana niona mwehu.
 
Naomba nikutabirie kazi Tatu Unazofanya kulingana na mada uliyoileta... (1)Dereva Bodaboda/Bajaj(2)Ni mtu usiye na kazi rasmi wewe ni kila kazi ngumu unafanya hasa ujenzi na vibarua(3)Au wewe ni wale wanaouza laini za makampuni ya simu mara kusajili laini na kurudisha laini zilizopotea(freelancer wa makampuni yanayotumia hasa rasilimali watu kama wewe)..NB:WEWE NI MGENI POPOTE UNAPOFANYIA KAZI KWA SASA..I MEAN ULIPOTOKA SIPO UNAPOFANYIA KAZI...either mjini au kijijini lkn Ni Mgeni!..USHAURI:USICHUKULIE WEWE NI MJANJA WA MAISHA KULIKO VIJANA WENGINE....CHUKULIA MAISHA KAMA SAFARI KWA HATUA.
 
hahaha mkuuu yaani hakuna kazi yoyote uliyoisema ninayofanya...
 
Kwa wanaume life begins at 40..
Wanaume tule bata hivyo viwanja na nyumba zipo tu
 
Yaani kijana kuoa 32-40 umeshachelewa sana yaani muda wenzio wanatafuta pesa wewe bado unaishi nyumba ya kupanga au nyumba ya ofisi alafu ndio kwanza unalea na haujaanza kusomesha dah pole sana vijana angalau 25-35 umeshamaliza kuzaa unasomesha na kutafuta pesa,kujenga miradi na kulea familia unasubiri uzeeni umeshachoka akili ndio mtoto yuko prim- utakufa kwa msongo wa mawazo
Asante Mkuu afadhali umenielewa vizuri sana
 
hahaha mkuuu yaani hakuna kazi yoyote uliyoisema ninayofanya...
Kwa nini unafikiria hovyo hovyo hivyo na Unaogopa maisha kiasi hicho?wewe ni kijana usiwe muoga hivyo!...Maandishi yako yamedhihirisha Umetoka aina gani ya familia kati ya hizi mbili..(1)Fukara...(2)Masikini.....maana hao Ndiyo bado Wanahangaikia Sehemu za kuishi,Chakula,Mavazi.....Kwa maandishi yako Unatuambia Uliwahi kununua kiwanja kuepuka adha mliyokutana nayo Na Wazazi/walezi....it means hamkuwa na Permanent shelter....or else wazazi wako ndo walikutana na adha hiyo wakakulisha wewe Uoga wao..
 
Mkuu umenichekesha sana.. Kwa kifupi Mkuu 75% ya Familia za Watanzania wanaangukia kwenye hizo kundi mbili ulizozitaja Kwa hiyo mimi sipingani na wewe kuwa katika au kuwa zao la makundi hayo na ukweli nakata na sitakuja kuishi maisha ambayo Babu zangu , au walionitangulia wameyaishi na ndiyo maana najaribu kuwaamsha vijana wenzangu kulitambuwa hilo...

Kiufupi Mkuu mifano ipo mingi, Wangapi Vijana wenzetu wapo Mjini na wanaonekana kutoka kwenye familia bora lakini ukiwambia wakupeleke kwa wazazi wao hawathubutu? Wangapi upo nao hapo ulipo lakini maishi yao wanayoishi ni ya kiujanjaujanja tu .. Let us be realistic na tujipange kabla ya aibu kukuta Mkuuu... Wapi Mr. Nice nani Msanii alikuwa na hela kama Mr Nice wapi yupo//
 
...Hekima inahitajika Juu ya Watu kuwaelimisha Kujenga makazi yao wenyewe...moja ya changamoto zinawakumba vijana wengi wa nchi zinazoendelea wengi hawana na hawaijui ratiba ya maisha yao..!!hawajui Wataishi wapi,Watajenga wapi,Watafanya kazi kwa Muda gani,Watajiajili mpaka lini....Maana hata Amani navMabadiliko Imekuwa Changamoto kubwa Mno!...Zaidi ya Yote Watanzania Wengi Wanaota Kujenga/kuishi Mijini hasa miji mikubwa......Nadhani Unakumbuka siku Chache zilizopita watu wamebomolewa Majumba yao kupisha Ujenzi/ kuwa nje ya mpangomji...nk...Hakuna kijana anashawishika kujenga huku akiona serikali inabomoa hadi nyumba zake yenyewe....Elimu ya Umiliki ardhi ipewe kipaumbele na Kuwe na Uwazi hapo vijana Wengi watahamasika kununua viwanja....maana tulifikia katika viwanja 100...Ishirini lazima vina migogoro + kutishiana maisha kwa UCHAWI au MAPANGA.....
 
Back
Top Bottom