Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Umeshawahi kufuatilia sera za ujenzi wa nyumba kwa mtu binafsi Vs Serikali kwenye nchi zingine tofauti na Tanzania?! Zinasemaje? Hasa nchi zilizoendelea ambazo zinahesabu miaka ya kupata uhuru (kujitawala) zaidi ya digit 2, maana hawa ndio role model wetu. Ukishapata taarifa/uzoefu tafadhali tupe mrejesho!
 
kumiliki kiwanja sio shida, je kiko wapi?? kwa mjini landlords ni wachache kuliko wenye nyumba
 
Mkuu mwanaume atakuwaje na kiwanja?
Mwanaume wa ukweli anamiliki eneo la ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali
n.b>wanja=kubwa
>kiwanja ndogo
Maana>kifaa kitumikacho katika urembo kwa mwanamke
 
Umeshawahi kufuatilia sera za ujenzi wa nyumba kwa mtu binafsi Vs Serikali kwenye nchi zingine tofauti na Tanzania?! Zinasemaje? Hasa nchi zilizoendelea ambazo zinahesabu miaka ya kupata uhuru (kujitawala) zaidi ya digit 2, maana hawa ndio role model wetu. Ukishapata taarifa/uzoefu tafadhali tupe mrejesho!
Kama angalizo tu! Hebu jaribu kufikiria kuwa hapa Tz tuna miaka 56 tu ya uhuru na nchi ina watu zaidi ya Milioni 50. Hebu ongeza angalau miaka 100 ili tuwakaribie wenzetu, je tutakuwa na watu kiasi gani? Na kama kila mtu mmoja atatakiwa kuwa na kiwanja/nyumba yake, tunatakiwa kuwa na kiasi gani cha ardhi kitakachohimili idadi hiyo ya watu? Wenzetu wa huko Moshi wanaweza kutusaidia uzoefu hapa! Idadi ya VYAMBA Vs Watu! Kindly, try to think out of the box!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si ajabu umenunua shamba Ruvu na wewe unajihesabia una kiwanja.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] heka elfu ishirini [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Waziri kusema kodi ya chumba sasa itakuwa inalipwa kwa kila mwezi badala ya miezi sita au mitatu.
 
we mamluki mtoa mada huko songea viwanja bei chee kabisa laki unapiga ekari yako moja yenye rutuba ya kutosha, kwani wewe iko kiwanja chako umekipatia kijiji gani?
 
Back
Top Bottom