Unavyolewa hivyo,kiringeni utaweza kweli kumuandalia mganga vifaa ?Hahahahha nitakujibu kesho leo nimeshalewaa tayar nitaandika upupu
Hahahaha dada jaman usinifanyie hivyo
Hahaha si unajua pombe+nyama+nongo zinaenda pamoja..hapo unatakiwa upate sasa wakukutifua vizuri wkend yako itaendaa swaafi kabisaShem leo nimelewa
Hakuna kumfataPM yako tu mama!.. au nimfate!?.
Nakwenda Rainbow saa hiiNamwambia nipo Platinum hapa ajeee
Uwanja wa mazoezi wa nini uwanja mmoja tu wa nyumbaniuwanja wa mazoezi nikafanyie wapi sasa!?..
Naenda rainbow sasa hivi mama. Ukuye kipande hiiUko wapi yani imebid nije mjin kwa lazima karibu Platinum
Bar yenye barmaid wenye mizigo ya haja dodoma nzima!.. tatizo wanaringa sana hao![emoji23].Dodoma nipo Platnum nalewa tu nimerud jana na Kimbinyiko
Hana uhandsome wowote sura yake nimeipenda hivyohivyo kama ya masoud sura mbayaNione uhandsome wakeee
Kumbee. Basi wanaume mtakua mnajazana hapo eehBar yenye barmaid wenye mizigo ya haja dodoma nzima!.. tatizo wanaringa sana hao![emoji23].