Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wengi sanaaaa
Hahahh... watu wanaponda raha wakati huo wengine na uber tunakomaa huku.😛😉😉
IMG_20180803_213218_793.jpg
 
Umeandika kweli tena wanaume wenye sura ya kiume na ngumu huwa na upendo ni ma husband material wazuri, aunty yangu mrembo ila mumewe sasa, ila ndo ana mpenda hatari
Hahaha nimecheka mpaka nimemwaga henesy yangu
 
Back
Top Bottom