Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mdogo mdogo tu anakula mazuri mengi
siku zote mdogo analelewa kama yai..😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku zote mdogo analelewa kama yai..😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna sifa yake niliisikia tu hata napajua basii mamy😉
uwiii una raha weyeeee
Hivi ushawahi kwenda kato bar!... kuna mijimama kule napo!, ila washamba wengii.Watu tunavyopenda kubanana sasa.
Wazee wa sura mbaya tushafikaDuuh! Nimecheka kwa sauti. Lol
Haya wahusika Mkuje uzi wenu huu leo ila mdogo wangu umejua kuwang'ata na kuwapuliza bana. [emoji23][emoji23]
unatakiwa pumzishwa lakini, mradi usiote kutu tu!..Hauwezi chakaa kabisa
Hivi ushawahi kwenda kato bar!... kuna mijimama kule napo!, ila washamba wengii.
Kupumzishwa utulie sasa sio kukitembezaunatakiwa pumzishwa lakini, mrafi usiote kutu tu!..
Me taxi driver!😎Hahahaha umeenda kumpokea nan jaman wick?