Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri ifike saa 6 uone miziki yao.Wamependeza sana jaman alafu mziki mkaleeeee old school
Remmy OngaraNdiyo maana mwanamziki mmoja wa zamani alikuwa na sura mbaya lakini alioa mzunguwa Ulaya.
FidHumble &Engeneer
Hata yawe makubwa vipi, hayana uzuri kama twako 🙂.Wewe huyo jamani ulivyowasifia mabar maid wa bar aliyokuwepo demiss
Ahsante mkuu,uzi unanihusu huu
kitu kama hicho ila unasahau hivii..
😳😳 kumbee!... basi kunywa smirnoff na savanna tu!.
Ukitoka uko uje kunipitiaMe taxi driver!😎
Ukija utapata ya kwako
Penda weye pia.Nakupenda sana karucii
TOBAAAAAAA!!! Mkuu Malcom Lumumba.... huyu Wick nilidhani na huku ni mwenzetu kumbe e bhana eh! Shikamoo mkuu Wick!
Hata yawe makubwa vipi, hayana uzuri kama twako 🙂.
Nao ni wapenda jichoIla jamani hapa duniani kuna wanaume ni wabahili hadi kero kwakweli Mungu awape maisha marefu wanaume wasio wabahili including mwenye mali
Na pia mwenye hofu ya Mungu.Wewe una akili nyingi sana Karucee ! Nilitaka kuandika kitu kama hicho hicho lakini kwa sababu umeandika tayari nakupa 1000likes!
Mwanaume mwenye sura mbaya amezaliwa na ninyi Wanawake wenyewe, amekaa kwenye matumbo yenu wenyewe kwa miezi tisa! Siku zote Mwanadamu anayejitambua hawezi kusema mwenzake ana sura mbaya.