Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Windhoek ipo lite sana heineken ni tamuwindhoek ndo nzuri kwako wewe!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Windhoek ipo lite sana heineken ni tamuwindhoek ndo nzuri kwako wewe!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa mnara 4G wiki nzima naanzaje kutoka nje sasa!!..
kwanza hawajui twerk kama wewe!..Woyoooooooo
Khaaaa badili simuKa tecno wereva kamegoma kutoa picha yenye mwanga,kila nikijipiga inatoka dark tu
Kila siku wapi bana, wiki ina siku 7 na hizo 6 ndogo tu!. tena masaa kidogoo!Ndio kila siku hiyo
Ewaa ila hata hawakunielewa!.Hahahaha na upendo ndio kila kitu
Bado siku moja tu iwe week basi nitakupa siku zote 7Kila siku wapi bana, wiki ina siku 7 na hizo 6 ndogo tu!. tena masaa kidogoo!
Vyuma vimekaza,ili mradi naingia nayo jf kukuona mrembo inatosha sanaKhaaaa badili simu
Hahahaha nijazeeekwanza hawajui twerk kama wewe!..
Asante ubarikiwe na wewe.Ubarikiwe sana mkuu! maana ni wachache sana wenye hofu ya MUNGU.
Hahaha!!.. chief intellijensia mkimleta huku nawakimbia!...Usihifu dadangu mpendwa... yaani akija cha-ufitinishi Malcom Lumumba atafahamu tu kafanya nini!!!
Hahahahaaa!!! haya bhana....weekend kama hizi usipozitumia unaweza kuja changanyikiwa uzeeni bure![emoji23]
Amen!Asante ubarikiwe na wewe.
Hahahahaa, lazima aje kushuhidia kwa macho yake!!!Hahaha!!.. chief intellijensia mkimleta huku nawakimbia!...
Chamdeko kakuita nenda kamuwekee ulinzi atabebwa engineer arudi sambaza umeme jf nzima!.
Aseh!!...Windhoek ipo lite sana heineken ni tamu
Hadi jpili, siku ya kutembea hiyo!..Bado siku moja tu iwe week basi nitakupa siku zote 7
Teh teh teh Kaka Chige bwanaUsihifu dadangu mpendwa... yaani akija cha-ufitinishi Malcom Lumumba atafahamu tu kafanya nini!!!