Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Yan eti tuunaenda UDOM lakin tumepita TYUka kweli pombe mwanaharamu
 
Hahah humjui Malcom tycoon wewe!!...Me mtu mdogo sana kwake kumtisha!.
 
Endelea kumuogopa hivyo hivyo mwaya.
chige amesoma chekechea na Raisi Mwinyi. Bonge la kibabu yaniii...[emoji23] [emoji23]
Hahaha jaman msinifanyie hiv hahaha Malcom my brother hatimaye nimefika home nahema juu juu hizi gorofa sikutegemea kama nitazipanda leo niliambiwa utanifata
 
Hafu wewe, sikupendi tena ujue...
Jana bwana watu walisumbua mpaka tukapewa baunsa atulinde watu wasituguse guse [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ungekuwepo jana ungepigana mchumba maaana huyu mkaka tuliekua nae mpaka jana kaongeza maadui wa kutosha kisa sisi
 
Naona ban nyingine inakunyemelea haiwezekani shem ufike kiwango cha kuniponda namna hii,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…