Pole sana ila kiukweli saiv Dodoma inakalisha kwa totozDemiss unajua wengine tuna mfungo wa hiari mwaka mzima!..
Dent wa Mipango na St. Johns' ini!?..Pole sana ila kiukweli saiv Dodoma inakalisha kwa totoz
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
hahaa nitake radhi chief " mimi naulokole wangu wote huu""!!!!?Tena wewe ndio kabisaa.
Bwana asifiwe!..hahaa nitake radhi chief " mimi naulokole wangu wote huu""!!!!?
Kuliko ya Rainbow na ile pilipili yao!?..Royal village kuna mishikaki mitamu
ameeen mtumishiBwana asifiwe!..
hahahh!!.. wenye dini zetu tunajibu 'awe pia nawe' ona sasa!..ameeen mtumishi
Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
ahsante sana Mrs mshanaMiss uuuu
hahaaa ... kwaheri mkuuhahahh!!.. wenye dini zetu tunajibu 'awe pia nawe' ona sasa!..
Umetisha Karucee, umetutia moyo wenye sura mbovu ambao akili hatuna, pesa hatuna.
I bet uliolewa ungali na umri Mdogo kwa vile una hekima na busara sana.Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Udogo hapana.I bet uliolewa ungali na umri Mdogo kwa vile una hekima na busara sana.
Jamaa aliona dhahabu kwenye matope.