Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Na tunasugua vizuri ss wenye sura chachu sijui nzito, papuchi zinatutambua habari zetu inazo
 
Kijana,hawa watu sio kabsa,..yaan ni hiv,kama mwanamke hakufeel,hata usimamie ukucha,humfikish..atakudanganya tuu,

Na ndomana wanasema,wanawake asilimia kubwa hua hawafik kilelen,ni sabab hyo tu
 
Hahahahhah
Yaan acha,nyie ni nuksi..unakuta dem yupo na mshikaj wala hamfeel,sura ngum ila kama kawaida,analiwa denda,anapumuliwa etc...anakula mic..tambi hiloo,..

Ye anachojua ni kwamba,ana uhakika wa maisha na good time.hahah,..i salute u
 
Hta wanawake wanaoolewa ni wenye sura mbya. Wazur wadangaji 4 life
 
Kijana,hawa watu sio kabsa,..yaan ni hiv,kama mwanamke hakufeel,hata usimamie ukucha,humfikish..atakudanganya tuu,

Na ndomana wanasema,wanawake asilimia kubwa hua hawafik kilelen,ni sabab hyo tu
Hatufeeel kivipi yan?Hahahah
 
Yaan acha,nyie ni nuksi..unakuta dem yupo na mshikaj wala hamfeel,sura ngum ila kama kawaida,analiwa denda,anapumuliwa etc...anakula mic..tambi hiloo,..

Ye anachojua ni kwamba,ana uhakika wa maisha na good time.hahah,..i salute u
Kweli ndugu yangu hayo yapo sana kwenye dunia ya leooo
 
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Hawajiani
 
Demiss, inaonesha sifa zote hizo anazo Mshana. Natamani nimuone😎😎😎
 
Kijana,hawa watu sio kabsa,..yaan ni hiv,kama mwanamke hakufeel,hata usimamie ukucha,humfikish..atakudanganya tuu,

Na ndomana wanasema,wanawake asilimia kubwa hua hawafik kilelen,ni sabab hyo tu
Shubuhamit kumbe wanatuchora tu
 
Angalia avatar yake
98741.jpg

1. NI MSOMI.
2. ANA AKILI NYINGI.
3. INAWEZEKANA ANA MICHUZI YA KUMWAGA!
4. ANA UPARA.
5. SIJUI NI MFUPI AU MREFU?
 
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Utambulisho huo nimecheka kwa sauti wallah
 
Back
Top Bottom