Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakupa code!.Wote sawa jaman leo naenda Kahama
Karibu sweetieWaoooh nimefurahi kuona comment yako
Kijana,hawa watu sio kabsa,..yaan ni hiv,kama mwanamke hakufeel,hata usimamie ukucha,humfikish..atakudanganya tuu,Na tunasugua vizuri ss wenye sura chachu sijui nzito, papuchi zinatutambua habari zetu inazo
Yaan acha,nyie ni nuksi..unakuta dem yupo na mshikaj wala hamfeel,sura ngum ila kama kawaida,analiwa denda,anapumuliwa etc...anakula mic..tambi hiloo,..Hahahahhah
Kweli ndugu yangu hayo yapo sana kwenye dunia ya leoooYaan acha,nyie ni nuksi..unakuta dem yupo na mshikaj wala hamfeel,sura ngum ila kama kawaida,analiwa denda,anapumuliwa etc...anakula mic..tambi hiloo,..
Ye anachojua ni kwamba,ana uhakika wa maisha na good time.hahah,..i salute u
HawajianiKwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
Shubuhamit kumbe wanatuchora tuKijana,hawa watu sio kabsa,..yaan ni hiv,kama mwanamke hakufeel,hata usimamie ukucha,humfikish..atakudanganya tuu,
Na ndomana wanasema,wanawake asilimia kubwa hua hawafik kilelen,ni sabab hyo tu
We cheka tu ila siku ukiyakanyaga ndio itajua kwann mbegu fupi asili yetu kongoHahahahaha
Angalia avatar yake
ndio kwa neema sijui weweUpooo
Utambulisho huo nimecheka kwa sauti wallahKwanza sifa walizobarikiwa: