Bora tumekumbukwa bana...Duuh! Nimecheka kwa sauti. Lol
Haya wahusika Mkuje uzi wenu huu leo ila mdogo wangu umejua kuwang'ata na kuwapuliza bana. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona leo kila mtu atakuwa na sura mbaya
Amebarikiwa mama aliyekuzaa, lina kheri tumbo lililokuzaa.Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Ulishaiona sura yangu? Basi ndo kama hiyo.Sura mbaya ndo ikoje demmis[emoji3][emoji3][emoji16]!!
Wee kitu gani hiko.. .Basi itakuwa kuna kitu umenyimwa