Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Pia wale waliokuwaga vilaza sana shule za msingi, wengi wanaoa na wengi maisha yao kama yamekaa kwenye mstari ukilinganisha na wale vichwa bado single na laifu halisomeki.
Humble &Engeneer
 
Tutavitoa wap sasa wakati mungu humpa kila mtu fahari yake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]hongereni sura mbaya
 
Mmeo ana sura mbaya ndo maana umeanzisha huu uzi hadi anavaa miwan hahaha mshana jr
 
Niliambiwa "bebi wakati una'kojoa' sura huwa inakua mbaya zaidi!". sasa unadhani ningefanyaje wakati kuna 'zaidi'
Hahahaha aiseee basi unafanana na Remy ongala
 
Jamani chige hivi una sura nzuri eeeh
Siku nikitaka kuoa, barua nitoe mimi, mahari nilipe mimi! Gharama za harusi niingie mimi! Tukifika home, nyumba au chumba nipange au nijenge mimi! Gharama kuu za familia nigharamike mimi lakini pamoja na yote hayo bado tu sura nzuri nayo niwe nayo mimi!!! Eti dada Shunie, unadhani itakuwa haki hiyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…