Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kumnad MSHANA JR..Hahahaha wana sifa nzuri sana hawa wanaume kiukweli
Huyu itakua bahili sasa mtu akuvumilie sura mbaya na ubahili jamani khaa em tuoneane huruma basi eeBasi itakuwa kuna kitu umenyimwa
Siku nikitaka kuoa, barua nitoe mimi, mahari nilipe mimi! Gharama za harusi niingie mimi! Tukifika home, nyumba au chumba nipange au nijenge mimi! Gharama kuu za familia nigharamike mimi lakini pamoja na yote hayo bado tu sura nzuri nayo niwe nayo mimi!!! Eti dada Shunie, unadhani itakuwa haki hiyo?!Jamani chige hivi una sura nzuri eeeh