Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.

Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.

Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Wow.
 
Umetupa jiwe gizani kwa mmeo mshana[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…