rickb
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 293
- 149
HahahaWaooo-hoo naongezea sisi wenye sura mbaya hatunaga vibamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWaooo-hoo naongezea sisi wenye sura mbaya hatunaga vibamia
Mmh yule mganga wa kienyejiHandsome
Mim sijali hilo as long as napata wa kubadilishana temperature na wewe.Unataka uwe spair tairi
Hatari na nusu[emoji108] [emoji108]Balaaa unakuwa umeolewa na kibwengo chaiiiiii
Wow.Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Umetupa jiwe gizani kwa mmeo mshana[emoji23] [emoji23]Kwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
Sura ukiingia bank unaelekezwa bulk cash room!..
Natembea na arabs tu kwa muda nikichoka ntafanya make up mnisifie na nyie basi!..🙂Hahahaha aiseee basi unafanana na Remy ongala