Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
 
Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.

Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.

Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
 
Ni
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Nimechelea lakini lazima nakae mbeleeee na derevaa

Wanume wa Dar wenye sura nzurii kama yangu oyeeeeeeeeeeeeee ,mkuje hapaa inawahusuu na sura zenu lainii
 
Back
Top Bottom