Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Daaah kaz kwl kwel
 
Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.

Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.

Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Wewe una akili nyingi sana Karucee ! Nilitaka kuandika kitu kama hicho hicho lakini kwa sababu umeandika tayari nakupa 1000likes!

Mwanaume mwenye sura mbaya amezaliwa na ninyi Wanawake wenyewe, amekaa kwenye matumbo yenu wenyewe kwa miezi tisa! Siku zote Mwanadamu anayejitambua hawezi kusema mwenzake ana sura mbaya.
 
Ila jamani hapa duniani kuna wanaume ni wabahili hadi kero kwakweli Mungu awape maisha marefu wanaume wasio wabahili including mwenye mali
Hahaha wapare wabahili alafu wamebarikiwa mikuyengee hahahahah
 
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Utukome
 
Wewe una akili nyingi sana Karucee ! Nilitaka kuandika kitu kama hicho hicho lakini kwa sababu umeandika tayari nakupa 1000likes!

Mwanaume mwenye sura mbaya amezaliwa na ninyi Wanawake wenyewe, amekaa kwenye matumbo yenu wenyewe kwa miezi tisa! Siku zote Mwanadamu anayejitambua hawezi kusema mwenzake ana sura mbaya.
Chit chat mkuu hiii wala usimind
 
Hahahaha wewe wa kwanza hutaki kukwangua vocha
Hii hapa
IMG_20180802_004618.jpg
 
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Mbaya ww unauma na kupuliza haya bhana.
 
Back
Top Bottom