Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe Email yako tu!... PM mpaka jf member fulani akubali!..Acha hizo bhn hutak piem yanguu
Huuu utafiti sio kabisaPia wale waliokuwaga vilaza sana shule za msingi, wengi wanaoa na wengi maisha yao kama yamekaa kwenye mstari ukilinganisha na wale vichwa bado single na laifu halisomeki.
Mtu ambaye hana kibamia huwa hajipi promo hiviTutavitoa wap sasa wakati mungu humpa kila mtu fahari yake[emoji23]
Hahaha shem mimi nimeongea ukwel tu hapo,yaliyomo hayamoo[emoji23] [emoji23]Na wewe unajikataa leo shem
Nakupenda sana karuciiHawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Waoooh[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
demiss umeamua kunianika kila kitu au umetumiwa picha zangu tayariKwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
Imebaki kidogo sana nikutoe kabisa!🙂Hahahahah jaman wick mbn unanitoa kwenye reli