Beka Mpole
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 490
- 375
Unaweza ukatupa mfano wa mwanaune mwenye sura mbaya tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sura yako ni ya kike kwa mujibu mleta sred kuwa na amani.Unaweza ukatupa mfano wa mwanaune mwenye sura mbaya tafadhali
Hahahaaa. Lol.Wazee wa sura mbaya tushafika
Naufuatilia vzr swahibaHahahaaa. Lol.
Uzi ndio huo uko mezani Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Eiiiimeeen .... Sikukosea kua shabiki wako namba moja.Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
You can even fall in love with a GOATPenzi ajali....
Ewaaaaaaaa.Naufuatilia vzr swahiba
hahaaa umeanza bangi zakoKuna mmoja anasura ya kike nimemuona akijatapa humu anasura mbaya looooh
Muonge mke wako kwan nan kakwambia utafute mchepukoHATIMAYE LEO NMEKUMBUKWA .
Mimi mwenye lisura libayaaa, jeusiiiii, kauzuuuu ,vimacho vya nyokaaa, Mmang'ati hahahaahha.
Ila hapo kwenye kuhonga? Bado sijawa nahela iyo nahata ikiwepo SITOKAA nihongee ng'ooo...Niache kula Raha na mke wangu ??? Nionge nje??[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]