Wanaume wenye tabia hizi acheni hizo mambo

Mnaboa, acheni usela mavi k.mni nner
Hapa naona napoteza muda dealing with a boy who doesnt know how men act. Usijali mtoto, siku ukikua utajua jinsi ya kuwa mwanaume kamili, na utakuja nkufundishe zaidi. Sasa hv endelea kugombania pad ya PS na watoto wa dadaako huku ukisubiria shemeji ako amalize kuangalia taarifa ya habari aende kulala akuache wewe na beki tatu mkingoja kuangalia tamthilia za kifilipino.
 
acha kumdhihaki mwezako dogo
 
Yaani mtu unapita unakuta wanakaa kimya, wanakuangalia kama mademu vile. Mnakera sana. Mnakuwa kama mashoga!
Lakini mkuu siyo kwa ubaya!

Utaratibu mzuri wa kuishi mtaani na watu ni ukipita kuwapa hi sema hata “Oya washkaji vipi ” kisha songa zako mbele,hawa hawa ndiyo kama unakoelekea siyo kwema watakwambia au unakoenda ukikwama kwa lolote utawauliza watakuelekeza.

Kwani salamu bei gani na pumzi hulipii?
 
Sawa, we si mkubwa mwenzake? Endelea kumpa moyo kuhusu malalamiko yake. Na pia akueleze n wapi ukikuta watu wamekaa inabd wasimame waanza kukupulizia mavuvuzela kama umewaajiri
Ni watu hawayajui maisha ya mtaa tusiwalaumu,yupo jamaa mmoja mtaani kwetu ana gari yake Audi Q7 akishaingia mtaani anashusha vioo anasalimia kila anayepata nafasi ya kupita pembeni ya gari yake.

Kibongo bongo ukileta uzungu mwingi huwezi kueleweka kuishi kijamaa inapendeza zaidi.
 
N
Yaani mtu unapita unakuta wanakaa kimya, wanakuangalia kama mademu vile. Mnakera sana. Mnakuwa kama mashoga!
Na wengine unapita unawapa hi wanatafakari kuitikia au hawaitikii kabisa au wengine wanajifanya wapo busy😀😀iyo mi mwenyewe uwa siipendi kinoma, wanakuwa kama sisters du wanaosubiria kupewa tu salamu na sio kutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…