Wanaume wenye Wivu na huna Hela pita hapa.

Wanaume wenye Wivu na huna Hela pita hapa.

angelita

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
3,017
Reaction score
2,432
Mimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.
1480703361827.jpg
 
Hakuna anayelazimishwa kuwa na mwanaume asiye na hela.hela sio kila kitu.wivu ni sehemu ya mapenzi.
 
Ni wazo zuri ila kwa watoto wa kike kuwaza pesa ya mwanaume tuuu ni utumwa!!!! Unawaza kuwa na mwanaume mwenye pesa umekuwa sex machine ya kulipia??? Maana ukishapewa pesa we unamrudishia nini kama sio kujituma kwene ngono????
 
Bibi yangu alishawahi kuniambia AKILI ZA WANAWAKE ZIPO HAPO CHINI YA KITIKIRINYA

haya ya hela nadhani mbuzi kufia kwa muuza subu
 
Back
Top Bottom