Wanaume wenye Wivu na huna Hela pita hapa.

Wanaume wenye Wivu na huna Hela pita hapa.

Hao wanaume wanaojipodoa na kutinda nyusi manenoo miingi kama wamama wa saloon[emoji23].kuna kijana asiye tafuta pesa!!
Ushawahi kuwapodoa na kuwatinda nyusi???? Usiongee kitu ambacho hujawahi kuthibitisha#kazana kusaka hela
 
Huyo Cyril kamikaze aliekomment kwenye hiyo post si alidisco chuo cha Ustaw mwaka juzi
 
Kama mapenzi yangekuwa nipesa basi kinasisi tungeisoma nsmba
 
Sihitaji hela ili niheshimiwe. Kwangu mimi kuna vitu muhimu zaidi ya hela. Read between the lines.

Bisha ubishavyo mwanaume bila hela heshima utaisikia kwa wenzio, hata ndugu zako hawatakuheshimu huo ndiyo ukweli.
 
UNA zhongtong aka new force ngapi mpk saa hi?
 
Ushawahi kuwapodoa na kuwatinda nyusi???? Usiongee kitu ambacho hujawahi kuthibitisha#kazana kusaka hela
e172e28fa521d7e20f5331398b1f27f3.jpg
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom