Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sihitaji hela ili niheshimiwe. Kwangu mimi kuna vitu muhimu zaidi ya hela. Read between the lines.Kazana Kusaka hela mwanaume uheshimiwe.
Huo ni mtazamo wako.Bisha ubishavyo mwanaume bila hela heshima utaisikia kwa wenzio, hata ndugu zako hawatakuheshimu huo ndiyo ukweli.
...kumbe!,Yakitatuliwa yanakuhusu nini au wanatumia ya kwako Mkuu.
Ushawahi kuwapodoa na kuwatinda nyusi???? Usiongee kitu ambacho hujawahi kuthibitisha#kazana kusaka hela