Mwanamke naww inabidi uwe nazoMimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.
..nakubaliana na wewe!!Childish.
Hao wanaume wanaojipodoa na kutinda nyusi manenoo miingi kama wamama wa saloon[emoji23].kuna kijana asiye tafuta pesa!!Mimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.
Na Avatar yako hiyo nimekupenda bureee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.